Loading...
title : MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI
link : MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI
MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI
Na Ripota Wetu,Michuzi Blog
MBUNGE wa Mtama Nape Nnauye(CCM) amenusurika kifo baada ya gari aliyokuwa akisafiria kupata ajali.
Nape amepata ajali hiyo leo asubuhi katika Kijiji cha Kibutuka akiwa njiani kuelekea Liwale kwa ajili ya kushiriki kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Mkoa.
Taarifa ambazo Michuzi Blog imezipata asubuhi zinaeleza kuwa ndani ya gari hiyo Nape alikuwa ameambatana na watu wengine wanne ambao wote ni wazima na hamna aliyedhurika.
Gari lenye namba za usajiri T 349 DEL likiwa limepinduka
Hivyo makala MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI
yaani makala yote MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mbunge-wa-mtama-nape-nnauye-anasurika.html
0 Response to "MBUNGE WA MTAMA NAPE NNAUYE ANASURIKA KIFO BAADA YA GARI ALIYOKUWA AKISAFIRIA KUPATA AJALI"
Post a Comment