Loading...

Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda

Loading...
Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda
link : Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda

soma pia


Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda

Kikosi cha Timu ya Mikocheni Vrterans.
Na Mwandishi Wetu.
TIMU ya Mikocheni veterans itashiriki tamasha maalum ya ujirani mwema lililopangwa kufanyika Kigali, Rwanda kuanzia Septemba 22.

Timu hiyo inatarajia kuandoka nchini Septemba 19, ikiwa na wachezaji na mashabiki 23 kwa ajili ya safari hiyo kwa mujibu wa Seneta wa timu hiyo, Yassin Ally Yassin.

Yassin alisema kuwa mechi ya kwanza itakuwa dhidi ya Karibu Sports Club ya Rwanda Septemba 24 na mechi nyingine zitafuatia.

Aliwataja wachezaji wanaondoka kuwa ni Adam Mohamed Mselem, Fumu Mahamud, Dornad Mtoka, winchande Chambuso, Ally Salim, Adnan Juma, Omary Mkuku, Jumanne Mnkumbu na Hamis Kisukari.

Wengine ni Agapiti Manday, Fikir Muhango, Belanus Komba, Eric Frederic , Ian Balegele, Timothy Kipilimba, Abdul Hamis Said, Suleima Masatu, Nassoro Abdul Mwinchui, Hassan Mbegu Mohamed, Neema Visent Msema na Witness David Mbingi.

Viongozi ambao wataambatana na timu hiyo ni Chriss Chale ambaye ni Mweka Hazina, Adam Mselem (Seneta) na Aidan Mshani ambaye ni kocha. Alisema kuwa wamejiandaa vilivyo na wanatarajia kucheza mechi kadhaa za kirafiki ili kujiandaa na tamasha hilo.

“Mpaka sasa tumejiandaa vilivyo na maandalizi ya safari yetu yanakwenda vizuri, morali ya wachezaji ipo juu na tunatarajia kupata ushindi huko Rwanda,” alisema Yassin.

Alisema kuwa mbali ya kushiriki tamasha la Rwanda, pia timu yao ina mipango ya kushiriki katika matamasha mengine ya nchi za ukanda wa Afrika Mashariki ili kujifunza mambo mbalimbali na kudumisha ushirikiano na wadau wa soka.


Hivyo makala Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda

yaani makala yote Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/mikocheni-veterans-ndani-ya-michezo.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mikocheni veterans ndani ya michezo ujirani mwema Rwanda"

Post a Comment

Loading...