Loading...
title : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
link : YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akisisitiza jambo wakati wa kipindi cha maswali na majibu Bungeni jijini Dodoma.
Mbunge wa Jimbo la Buyungu Mhe. Mhandisi Christopher Chiza akiapa mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job NdugaiS leo Jijini Dodoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa mbunge wa jimbo hilo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimpongeza mbunge wa Buyungu Mhe. Mhandisi Christopher Chiza mara baada ya kula kiapo mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai leo Bungeni Jijini Dodoma.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji akijibu swali Bungeni Kuhusu hatua zinazochukuliwa na Serikali katika kuwezesha mikoa kutekeleza miradi ya kimkakati ya maendeleo ili kuinua uchumi wa mikoa hiyo.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akieleza mikakati ya Serikali katika kuinua sekta ya kilimo hapa nchini wakati wa kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Jijini Dodoma.
Mbunge wa Kibakwe Mhe. George Simbachawene akisisitiza kuhusu faida za Dodoma kuwa makao makuu ya nchi yetu leo Bungeni Jijini Dodoma.
Sehemu ya wabunge wakifuatilia mkutano wa 12 kikao cha kwanza cha Bunge leo Jijini Dodoma. (Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO)
Hivyo makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA
yaani makala yote YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/yaliyojiri-leo-bungeni-jijini-dodoma.html
0 Response to "YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA"
Post a Comment