Loading...

WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA

Loading...
WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA
link : WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA

soma pia


WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA

JOSEPH MPANGALA -MTWARA

Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kaleman amezindua Mradi wa matumizi ya Nishati ya Gasi awam ya kwanza katika kiwanda cha Saruji cha Dangote kwa lengo la kuzalisha umeme wa megawatts 45 unaozalishwa na mashine tatu zenye uwezo wa Kuzalisha Megawats 15 kila moja.

Uunganishwaji wa Nishati ya gas katika kiwanda Utaongeza uzalishaji wa Saruji katika Kiwanda cha dangote pamoja na Kupunguza matumizi ya gaharama za uendeshaji kwa asilimia 40 ambapo kwa sasa Dangote anazalisha Saruji kwa kutumia mafuta ya dizeli ambayo yanagharimu shilingi Milion315 kwa siku Gharama ambazo ni kubwa ukilinganisha na gharama za Umeme wa Nishati ya Gas.

Akiongea mara baada ya Kuzindua matumizi ya Gas kutumika katika kiwanda cha Dangote Mkoani Mtwara Waziri wa Nishati Dr Medard kaleman amesema dhamira ya serikali kuweka mazingira Rafiki kwa wawekezaji wote ili waweze kuvutika kuwekeza hapa Nchini ili kuongeza Ajira kwa wananchii.

“Punguzo la asilimia 40 katika Gaharama za Uzalishaji katika Kiwanda cha Dangote ni Tija kwa kampuni lakini ni Tija kwa serikali,kwa sasa Kiwanda Kinaweza Kuajiri wafanyakazi watu elf moja hadi elfmoja na miatano lakini wanafanya hivyo kwa sababu gharama za uendeshaji zilikuwa ni kubwa lakin kwa Kutumia Gas ambayo inawapunguzia gharama kubwa za uendeshaji wameniambia wanaweza kuongeza ajira kwa Watanzania”Amesema Dr.Medard.

Akiongea kwa Niaba ya Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Avod Mmanda amesema uzalishaji wa Saruji utakapoongezeka utaleta maendeleo ya Mtu Mmoja mmoja pamoja na ajira kwa wingi zaidi.

“Kiwanda Hichi kitakapo zailisha Simenti kwa wingi maana yake ni kwamba usambazaji utakuwa Mkubwa,Hapa katikati Kiwanda Kiliposimama Mji Ulitikisika kwenye swala zima la Ujenzi kwa hiyo Siment Inapokuwa nyingi na kwa bei nafuu Ujenzi utaongezeka na ajira zitakuwepo kwa wingi”Amesema Mmanda. Mradi huu ni wa Awamu ya Kwanza wa Megawats 45 na awamu ya pili itakuwa na Megawats 75 kuingia katika kiwanda cha dangote na unatarajia kukamilia mwezi October 2019.
 Waziri wa Nishati DR.Medard Kaleman akikata Utepe Kuashiria Uzinduzi wa Matumizi ya Nishati ya Gas tayari kwa uzalishaji wa Umeme wa Megawats 45 katika kiwanda cha Saruji kilichopo Mkoani Mtwara.
 .Mtendaji Mkuu wa Kiwanda Cha Sarauji Cha Dangote kilivhopo Mkoani Mtwata akimuonesha Wazirir wa Nishati dr.Medard Kaleman Mitambo ya Umeme ya Umeme ya Megawats 45 ambayo imeanza kutumika katika Kuzalisha Saruji ya Dangote.
 .Waziri wa Nishati Dr.Medard Kaleman akitazama baadhi ya Mitambo ya Umeme ya Megawats 45 inayomilikiwa na Kiwanda cha Dangote ambacho tayari kimeanza kupokea Nishati ya Gas tayari kwa Uzalishaji wa Saruji.


Hivyo makala WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA

yaani makala yote WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-medard-azindua-matumizi-ya-gas.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MEDARD AZINDUA MATUMIZI YA GAS DANGOTE-MTWARA"

Post a Comment

Loading...