Loading...
title : Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru
link : Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru
Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru
Na. Raya Hamad OR KSUUUB
Imeelezwa kuwa lengo la Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar litatimia iwapo mashirikiano na maelewano yaliyopo yataendelezwa ili kuleta ufanisi na tija kwa Muungano wetu
Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe Haroun Ali Suleiman alipokutana na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Tanzania Bara Kamishna Diwani Athumani Ofisini akiwa ameongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA “ziara Mussa Haji ALI kwake Mazizini
Waziri Haroun amesisitiza kuwepo kwa mashirikiano baina ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU na Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA “ziara za kutembeleana na kubadilishana mawazo na uzoefu zinaleta umoja na tija kwa Taifa kulingana na majukumu ya taasisi hizi ni mazito lakini isiwe sababu ya kuwa ni kikwazo cha kutimiza wajibu wenu na ndio maana mkaaminiwa na viongozi wanchi “alisisitiza
Vita ya kupambana na kuzuwia rushwa na uhujumu uchumi ni kubwa iliyoota mizizi hivyo taasisi zote mbili zinawajibu wa kutoa taaluma kwa taasisi za umma na jamii ili kwenda sambamba na kasi ya uwajibikaji hasa kwa ulimwengu huu wa sayansi na teknologia .
Mhe Haroun amewasisitiza viongozi wote wawili wa ZAECA na TAKUKURU kuendeleza utamaduni wa kubadilishana uzowefu wa kiutendaji na kutumia mbinu za kisasa za kupambana na rushwa kwa kuwashirikisha wafanyakazi wao na kuwapa mafunzo ya ndani na nje , kukuza uhusiano na kushiriki makongamano mbali mbali yanayoandaliwa kitaifa na kimataifa .
Akitoa shukurani zake Mkurugenzi TAKUKURU Kamishna Diwani Athumani ameahidi kuendeleza uhusiano uliopo na kuendeleza mapambano dhidi ya Rushwa kwa mashirikiano ya pande zote mbili kwa vile Taasisi hizo zina jukumu moja la kudhibiti vitendo vya rushwa .
Hivyo makala Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru
yaani makala yote Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/09/waziri-nchi-ofisi-ya-rais-katiba-sheria.html
0 Response to "Waziri Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Azungumza na Kamishna wa Taasisi ya Takukuru"
Post a Comment