Loading...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi

Loading...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi
link : Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi

soma pia


Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi

 
 _MG_4883.JPG
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu leo wamesaini mkataba wa upimaji utendaji kazi wa Mkurugenzi huyo kwa mwaka wa fedha 2018/2019.

Bwanakunu amesaini mkataba huo mbele ya Menejimenti ya MSD.

Akizungumza baada ya tukio hilo, Dkt. Ulisubisya amewapongeza MSD kwa kuteuliwa kuwa mnunuzi Mkuu wa dawa, vifaa tiba  na vitendanishi vya maabara kwa nchi mwanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Ameagiza pia mikataba yakununua dawa, vifaa tiba  na vitendanishi vya maabara kutoka kwa wazalishaji iangaliwe na kuandaliwa vizuri hasa wakati huu ambao MSD inahitaji shehena kubwa kwa ajili ya kuhudumia nchi 16 wanachama wa SADC.

Kabla ya kusaini mkataba huo, Bwanakunu alimueleza Katibu Mkuu mafanikio ya malengo matano aliyojiwekea mwaka wa fedha uliopita, ikiwa ni pamoja kuimarisha uwezo wa kifedha, kuboresha mifumo ya Tehama, kushirikisha wadau,kuboresha tija ya wafanyakazi mahali pa kazi,pamoja kuimarisha hali ya upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi vya maabara, ambapo amefanikisha kwa 96%.



IMG_6313.JPG 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya(kushoto)  na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu (kulia) wakitiliana saini mkataba wa Upimaji utendaji kazi kwa Mwaka 2018/2019. Katikati ni Mwanasheria Mkuu wa Taasisi Hiyo.



Hivyo makala Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi

yaani makala yote Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/katibu-mkuu-wa-wizara-ya-afya-dkt-mpoki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Mpoki Ulisubisya na Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa(MSD) Laurean Rugambwa Bwanakunu Wamesaini Mkataba wa Upimaji Utendaji Kazi"

Post a Comment

Loading...