Loading...
title : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA
link : KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA
KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS nchini akitoa hutuba ya ufungaji wa Mkutano Mkuu wa sita wa Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara. Mkutano huo unaofanyika kwa siku mbili leo Oktoba 30, 2018 jijini Dodoma. 
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa sita wa Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(hayupo pichani) ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS nchini .
Wanachama mbalimbali wa Saccoss ya Magereza wakiwa mbele ya wajumbe wakati wa uchaguzi wa Mjumbe wa Bodi ya Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara katika Mkutano huo.
Wajumbe wa Sekretarieti ya Mkutano Mkuu wa sita wa Mwaka wa Chama cha Ushirika wa Akiba na Mikopo cha Watumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania Bara wakifuatilia ufungaji wa Mkutano huo.
Kamishna Jenerali wa Magereza, Phaustine Kasike(katikati) ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS nchini akiondoka ukumbini mara baada ya ufungaji wa Mkutano, aliyeambatanaye ni Mwenyeketi wa Bodi ya Magereza Saccos, SACP. Mbaraka Semwanza(kushoto). Kulia ni Kamishna wa Utawala na Rasilimali watu, Gaston Sanga(Picha zote na Jeshi la Magereza).

Hivyo makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA
yaani makala yote KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/kamishna-jenerali-wa-magereza-phaustine.html
0 Response to "KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA PHAUSTINE KASIKE AFUNGA MKUTANO MKUU WA SITA WA MAGEREZA SACCOS, LEO JIJINI DODOMA"
Post a Comment