Loading...

MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA

Loading...
MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA
link : MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA

soma pia


MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA



WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema changamoto ya upatikanaji wa ajira hususani kwa vijana imeanza kupungua nchini baada ya viwanda vingi kuanza kufanya kazi.

Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli imedhamiria kukuza uchumi kutoka wa chini hadi wa kati kupitia sekta ya viwanda ifikapo mwaka 2025.

Aliyasema hayo jana jioni (Jumamosi, Oktoba 6, 2018) alipotembelea kiwanda cha kukoboa kahawa cha BUKOP na cha kusindika kahawa cha Tanica, mjini Bukoba.Alisema kwa sasa tabia ya vijana wengi kukaa vijiweni imepungua kwenye maeneo mengi nchini baada ya wengi kuajiriwa katika viwanda mbalimbali vilivyoanzishwa na kufufuliwa.

Waziri Mkuu alisema viwanda vimekuwa vikitoa ajira nyingi kwa wananchi, ambapo alitolea mfano kiwanda kimoja cha Tanika kilichoajiri watumishi 800. “Nyie mlioajiriwa kiwandani hapa hakikishe mnafanya kazi kwa bidii, weledi, uaminifu na uadilifu wa hali ya juu ili kukiwezesha kiwanda kuendelea na uzalishaji,” alisisitiza.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kopo la kahawa wakati alipotembelea kiwanda cha kusindika kahawa cha TANICA kilichopo mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama paketi ya kahawa wakati alipotembelea kiwanda cha kusindika kahawa cha TANICA mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mtambo kusindika kahawa wakati alipotembelea kwanda cha kusindika kahawa cha TANICA mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha kukoboa kahawa cha BUKOP baada ya kutembelea kiwanda chao kilichopo mjini Bukoba, Oktoba 6, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali, Marco Elisha Gaguti. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Mkuu wa kiwanda cha kukoboa kahawa cha BUKOP, Theobad Mushashu (katikati) kuhusu ukoboaji kahawa wakati alipotembelea kiwanda hicho, Oktoba 6, 2018. 



Hivyo makala MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA

yaani makala yote MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/majaliwa-viwanda-vimepunguza-tatizo-la.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAJALIWA: VIWANDA VIMEPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA"

Post a Comment

Loading...