Loading...

MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA

Loading...
MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA
link : MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA

soma pia


MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA



Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)akimkabidhi tuzo ya Mshindi wa kwanza Mwenyekiti wa taasisi ya uhamasishaji uwazi na uwajibikaji katika raslimali za madini, mafuta na gesi asilia Bw. Ludovick Utoh alieipokea kwa niaba ya Haki Ardhi katika maonyesho ya wiki yaAsasi za Kiraia 2018 yenyekaulimbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” katika tukio lililofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma. Katikati ni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mhe. Fatma Toufiq

Spikawa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wasabakushoto) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mbali mbali kutoka Asasi za kiraia baada ya kufunga maonyesha ya Asasi za kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na washiriki mbali mbali kutoka Asasi za kirai (hawapo kwenye picha) wakati akifunga maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu“Tanzania yaViwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kushoto mbele) akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS), Bw. Francis Kiwanga (wa pili kulia) wakielekea katika ukumbi wa African Dream kwa ajili ya kufunga maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 Jijini Dodoma

Washiriki Mbali mbali kutoka Asasi za kiraia wakiwa katika ufungaji wa maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania ya Viwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Foundation For Civil Society (FCS), Bw. Francis Kiwanga wakati alipowasili katika ufungaji wa maonyesho ya Asasi za Kiraia 2018 yenye kauli mbiu “Tanzania yaViwanda: Watu, Sera na Utekelezaji” yaliyofanyika leo tarehe 26 Octoba, 2018 katika ukumbi wa African Dream Jijini Dodoma.(PICHA NA OFISI YA BUNGE


Hivyo makala MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA

yaani makala yote MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/matukio-katika-picha-spika-ndugai.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MATUKIO KATIKA PICHA SPIKA NDUGAI AKIFUNGA MAONYESHO YA ASASI ZA KIRAIA 2018 YALIYOFANYIKA JIJINI DODOMA"

Post a Comment

Loading...