Loading...

MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA

Loading...
MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA
link : MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA

soma pia


MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA




Na. WFM, Bali Indonesia.

Mazingira bora yakutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika Sekta Binafsi kutaiwezesha sekta hiyo kupata fedha katika Mashirika ya Kimataifa ambayo yametenga bajeti kwa ajili ya kuimarisha sekta hiyo.
Hayo yameelezwa mjini Bali Indonesia na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, baada ya kumalizika kwa  mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) iliyowakutanisha Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu wa nchi mbalimbali.

Dkt. Mpango alisema kuwa, yapo Mashirika ambayo yapotayari kutoa fedha iwapo kuna uhakika wakurudishwa kwa fedha hizo kama zitatolewa kwa mfumo wa  mikopo, hivyo ni vizuri mazingira ya utekelezaji miradi ya Sekta Binafsi yakaboreshwa ili kuwe na urahisi wa upatikanaji wa fedha hizo.
Alisema kuwa, nchi za Afrika ikiwemo Tanzania zinahitaji pia fedha za kuwekeza kwenye miundombinu ya kiteknolojia ili kuweza kuchochea ukuaji wa uchumi.

“Kama nchi inatakiwa kuhakikisha  inaongeza mapato ya ndani ya kodi  na yasiyo ya kodi kwa kuwa jambo hilo ni moja ya kigezo chakuweza kupata fedha zaidi kutoka Mashirika ya Kimataifa”, alieleza Dkt. Mpango.
Naye Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dkt. Yamungu Kayandabila, alisema kuwa katika mikutano ya mwaka ya WB na IMF, imesisitiza kuondoa vikwazo vya kibiashara kati ya nchi na nchi  kwa kuwa biashara imekuwa na mchango mkubwa katika kukuza pato na uchumi wa nchi unategemea mahusiano mazuri kati ya taifa moja na lingine.
 Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), akiwa katika Mkutano na  Mkurugenzi  Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bi. Christine Lagarde (hayupo pichani), mjini Bali Indonesia.
2
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (wa pili kushoto) akiwa na Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali wakati wa Mkutano na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bi. Christine Lagarde (hayupo pichani), mjini Bali Indonesia ambapo suala la mwenendo wa uchumi wa Afrika uliangaziwa.
3
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bi. Christine Lagarde, akizitaka nchi za Afrika kuboresha uchumi,  wakati wa mkutano kati yake na Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali mjini Bali, Indonesia.4
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bi. Christine Lagarde (kushoto) akifurahia jambo wakati wa mkutano kati yake na Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu za nchi mbalimbali mjini Bali, Indonesia, wakati wa kumalizika kwa mikutano ya mwaka ya Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la Kimataifa.
5
Viongozi wa Shirika la Fedha la Kimataifa wakiwa wamesimama  kwa muda mfupi kukumbuka maafa yaliyotokea kipindi kama hiki mwaka uliopita nchini Somalia, wakati wa  mikutano ya Benki ya Dunia (WB)  na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) mjini Bali Indonesia.
6
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Bi. Christine Lagarde, Mawaziri wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu wa nchi mbalimbali  wakiwa katika Mkutano mjini Bali, Indonesia .(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wizara ya Fedha na Mipango mjinin Bali Indonesia).


Hivyo makala MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA

yaani makala yote MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mazingira-bora-ya-miradi-kuipatia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAZINGIRA BORA YA MIRADI KUIPATIA MIKOPO SEKTA BINAFSI TOKAKA KATIKA MASHIRIKA YA KIMATAIFA"

Post a Comment

Loading...