Loading...
title : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI
link : MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI
MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akielekeza jambo wakati alipokuwa akiwapatia mawaidha wachezaji wa Timu ya Mpira wa Kikapu (Basket Ball) ya Benki hiyo, inayoshiriki michuano ya mabenki (Bankers Basketball League) iliyoanza kutimua vumbi leo katika viwanja vya Gymkana, Ocean Road jijini Dar es salaam. Nsekela alifika uwanjani hapo kuwapa hamasa vijana wake na kuwatakia ushindani uliokuwa mwema katika mchezo huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiepana mkono na mmoja wa wachezaji wa Timu ya Mpira wa Kikapu (Basket Ball) ya Benki hiyo, inayoshiriki michuano ya mabenki (Bankers Basketball League) iliyoanza kutimua vumbi leo katika viwanja vya Gymkana, Ocean Road jijini Dar es salaam.
Kikosi cha Timu ya Benki ya CRDB.
Mchezaji wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Benki ya CRDB, Godwin Semunyu (kushoto) akiwa katika harakati za kutoka ngome ya wapinzani wao Benki ya DTB, katika mchezo uliopigwa leo katika viwanja vya Gymkana, Ocean Road jijini Dar es salaam.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Hivyo makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI
yaani makala yote MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mkurugenzi-mtendaji-wa-benki-ya-crdb_27.html
0 Response to "MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AUNGANA NA TIMU YA MPIRA WA KIKAPU KATIKA MICHUOANO YA MABENKI"
Post a Comment