Loading...
title : MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO
link : MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO
MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (kushoto), akizungumza na Wakuu wa Idara na Taasisi pamoja na maafisa mbalimbali wa Wizara hiyo, katika kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa muundo mpya wa Wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma leo. Kushoto kwa Katibu Mkuu, ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima, akifuatiliwa na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Issa Ng’imba.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhan Kailima akizungumza katika kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa muundo mpya wa Wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma leo. Kikao hicho kilihudhuriwa na Wakuu wa Idara na Taasisi zilizopo ndani ya Wizara hiyo. Katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Meja Jenerali, Jacob Kingu.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (katikati), akizungumza na Wakuu wa Idara na Taasisi pamoja na maafisa mbalimbali wa Wizara hiyo, katika kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa muundo mpya wa Wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma leo. Watatu kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima, na watatu kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara hiyo, Issa Ng’imba.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali, Jacob Kingu (wapili kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Ramadhan Kailima (kulia), pamoja na Wakuu wa Idara na Taasisi pamoja na maafisa mbalimbali wa Wizara hiyo, wakimsikiliza Mwasilishaji wa taarifa kwa niaba ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, ASF Athuman Nassa, alipokua anawasilisha katika kikao cha kupitia taarifa ya utekelezaji wa muundo mpya wa Wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Hivyo makala MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO
yaani makala yote MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/meja-jenerali-kingu-aongoza-kikao-cha.html
0 Response to "MEJA JENERALI KINGU AONGOZA KIKAO CHA KUPITIA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA MUUNDO MPYA WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI, JIJINI DODOMA LEO"
Post a Comment