Loading...
title : Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo.
link : Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo.
Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo.
Mafundi wa Kampuni ya Ujenzi wa Mitaro ya Maji Machafu ukiendelea na Ujenzi huo katika Mitaa ya Makadara na lumumba, kama inavyoonekana picha mmoja wa mtaro huo ukiendelea na ujenzi wake katika mtaa wa lumumba ukielekea pwani ya kinazini kuunganishwa ili kumwaga maji hayo kutoka katika maeneo ya Sebleni na Nyerere.
Ujenzi ukiendelea katika mtaa wa makadara mafundi wakienelea na zoezi hilo la ujenzi wa Mtaro huo.
Mtaro wa zamani katika eneo la kwa AbassHussein. Nao huu ummo katika kujengwa upya ili kuondoa Tatizo la kutuwama kwa maji wakati wa mvua za masika.
Hivyo makala Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo.
yaani makala yote Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mradi-wa-ujenzi-wa-mitaro-katika-maeneo.html
0 Response to "Mradi wa Ujenzi wa Mitaro Katika Maeneo Mbalimbali ya Zanzibar Ukiendelea Kwa Kasi Ujenzi Huo Katika Maeneo Hayo."
Post a Comment