Loading...

Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza

Loading...
Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza
link : Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza

soma pia


Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza

Na mwandishi wetu, Dodoma.

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb), amesema habari iliyochapishwa na gazeti la kila siku la Tanzanite la leo Jumatatu tarehe 29 Oktoba, 2018 lenye habari zenye tuhuma za kisiasa dhidi ya Viongozi kadhaa, haziakisi msimamo wa Serikali na ameagiza mmiliki na Bodi ya uhariri ya gazeti hilo waitwe mara moja Idara ya Habari (MAELEZO) kujieleza kuhusu msingi wa habari hiyo.

Dkt. Mwakyembe ametoa ufafanuzi huo leo mchana, mara baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kuelezea kushtushwa kwake na mwenendo wa gazeti hilo kuchapisha habari zinazoibua tuhuma za kisiasa dhidi ya baadhi ya Viongozi nchini, wakiwemo Wabunge na kusababisha taharuki kubwa katika jamii.

Gazeti la Tanzanite linatolewa na kampuni ya CZ Information and Media Consultant LTD ya Dar es Salaam na leo katika toleo lake Na. 254 limeandika katika ukurasa wake wa mbele  habari yenye kichwa kinachosomeka “Vigogo 14 hatari kwa nchi watajwa” ambayo inawataja viongozi kadhaa wa kisiasa na wafanyabiashara.


Hivyo makala Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza

yaani makala yote Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mwakyembe-aagiza-wamiliki-na-wahariri.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwakyembe Aagiza Wamiliki na Wahariri wa Tanzanite Kujieleza"

Post a Comment

Loading...