Loading...
title : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
link : MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha amati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo Okotoba 30, 2018.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu Mwenyekiti wake (Bara) Ndg. Philip Mangula na Katibu Mkuu Dkt. Bashiru Ally, baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo Okotoba 30, 2018.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan baada ya kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM katika ofisi ndogo za chama hicho mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam leo Okotoba 30, 2018. Katikati yao ni Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg. Philip Mangula na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai
PICHA NA IKULU
Hivyo makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO
yaani makala yote MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/mwenyekiti-wa-ccm-rais-dkt-magufuli.html
0 Response to "MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA HICHO JIJINI DAR ES SALAAM LEO"
Post a Comment