Loading...

Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania

Loading...
Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania
link : Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania

soma pia


Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro akihutubia wakati wa hafla ya kuadhimisha siku ya Taifa la Hispania iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi. Katika hotuba yake Mhe. Naibu Waziri ambaye alikuwa mgeni rasmi katika hafla hiyo alisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kihistoria uliopo kati ya Tanzania na Uhispania. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mabalozi na wageni mbalimbali.
Kaimu Balozi wa Hispania Bibi. Teresa Martin naye akihutubia kwenye hafla hiyo 
Sehemu ya Mabalozi na Wageni mbalimbali walio hudhuria hafla hiyo


Sehemu ya Mabalozi na Wageni mbalimbali walio hudhuria hafla hiyo.


Hivyo makala Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania

yaani makala yote Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/naibu-waziri-dkt-ndumbaro-awa-mgeni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania"

Post a Comment

Loading...