Loading...
title : TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE
link : TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE
TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE
Kocha wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike amesema wako tayari kwa mechi dhidi ya Cape Verde ambayo itapigwa katika dimba la taifa jijini Dar es Salaam.
Amunike amesema wameyafanyia kazi makosa yao yaliyotokea katika mechi ya kwanza na kusababisha kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao 3-0.
“Tumepata muda wa kuyafanyia kazi makosa yetu, tunaamini leo hakuna mjadala zaidi ya pointi tatu. Haitakuwa kazi nyepesi lakini tutapambana,” alisema.
Pamoja na marekebisho yaliyofanyika ikiwemo kumuongeza kiungo Erasto Nyoni kutoka Simba, Amunike amesema vijana wake wako katika morali ya juu kabisa.
Mechi hiyo itapigwa saa 11 jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE
yaani makala yote TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/taifa-stars-kibaruani-dhidi-ya-cape.html
0 Response to "TAIFA STARS KIBARUANI DHIDI YA CAPE VERDE"
Post a Comment