Loading...

TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA

Loading...
TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA
link : TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA

soma pia


TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii. 
WADAU wa Utalii kwa kushirikiana na Vyuo Vikuu katika jiji la Mwanza leo wameanza kampeni ya siku tatu ijulikanayo kama “Discover the Treasures of Mwanza” itakayoshirikisha zaidi ya wanafunzi 800 waliojiunga na vyuo vikuu mwaka huu. 

Lengo la kampeni hii inayotarajia kufanyika katika Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane linatajwa kuwa ni kutoa fursa kwa wanafunzi hao wa elimu ya juu kutambua umuhimu wa kutembelea rasilimali zilizopo nchini na kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa utalii wa ndani. 
 Akizungumzia tukio hili mmoja wa wajumbe wa kamati ya maandalizi ya tukio hilo ambaye pia ni Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustine(SAUT), Judith Wanda,anasema kampeni hiyo inatarajiwa kuanza leo oktoba 26 hadi 28 mwaka huu.
 
 Wanda amefafanua kuwa kupitia kampeni hiyo wanafunzi hao ambao ni wa mwaka wa kwanza watapata fursa ya kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu masuala ya uhifadhi na utalii wa ndani pamoja na namna bora ya kutangaza vivutio vilivyopo nchini. 

 "Vyuo vinaanza udahili hivyo tumelenga wanafunzi wapya wanaojiunga na elimu ya juu na tunatarajia kutumia fursa hiyo kuwafundisha wanafunzi kutembelea vivutio na rasilimali zilizopo nchini kama njia ya kujifunza na tunaamini hawa wataenda kuelimisha jamii umuhimu wa uhifadhi na utalii wa ndani.

 "Kampeni hii ya siku tatu imelenga kukutanisha wanafunzi 800 na kila mwanafunzi atajigharamia kiasi cha Sh 8,800 kwa ajili ya usafiri na shughuli nyingine hifadhini Saanane. Tulishawahi kufanya kampeni ya kwanza na tulikuwa tukihusisha wanafunzi wa maeneo ya Mwanza," 
Kundi la Waandishi wa Habari wakiwa katika boti maalumu kwa ajili ya safari ya kuelekea Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane .
Eneo hili limo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Saanane ambalo linajulikana kama jiwe la kuruka "Jump Stone" limekuwa ni kuvutio kwa wageni walitembelea hifadhi hiyo kwa ajili ya kuchukua Taswira wakati wakiruka.

Baadhi ya Watalii wa ndani wakiwa katika Lango la kuingia ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Kisiw acha Saanane kwa ajili ya kujionea vivutio vya utalii vilivyopo katika Hifadhi hiyo.  






Hivyo makala TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA

yaani makala yote TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/tanapa-na-wadau-wa-utalii-wafanya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANAPA NA WADAU WA UTALII WAFANYA KAMPENI YA KUTANGAZA VIVUTIO KATIKA JIJI LA MWANZA"

Post a Comment

Loading...