Loading...

ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO

Loading...
ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO
link : ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO

soma pia


ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO





Seriklai imeziagiza Mamlaka ya Udhiti Ubora Tanzania (TBS), Mamlaka ya Udhiti wa ubora wa Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) na SIDO kuwapa elimu Wanawake wajasiliamali wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro ili kuongezea thamani katika bidhaa zao kwa kuwapa wabunifu na kuhakikisha bidhaa zao zinakuwa vifungashio vyenye ubora ili ziweze kushindana katika soko na bidhaa nyingine.

Hayo yamesemwa mkoani Morogoro Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile wakati alipotembelea vikundi vya wanawake wajasiliamali wa Wilaya ya Mvomero katika ziara yake Mkoani Morogoro kuangalia utoaji huduma za Afya na Maendeleo ya Jamii.

Pamoja na mambo mengine Naibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Ndugulile amesema ili wanawake hao waweze kufikia malengo yao na kukuza biashara yao lazima bidhaa ziwe na nembo ya biashara ambayo itatambulisha bidhaa zao na kusaidia kuvutia wateja.

‘’Wekeni nembo katika bidhaa zenu na serikali ya Wilaya iwasaidie ili muweze kuwa na viwanda vidogo vya uzalishaji mali jambo ambalo lipo pia katika Nchi zinazoendelea ambapo viwanda vidogo vimekuwa vikisaidia kuinua hali ya maisha ya wananchi mfano mkiongezea thamani bidhaa zenu na kuzipa nembo ya Movomero itakuwa bora zaidi’’. Alisisitiza Dkt. Ndugulile.


Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akiongozana na Wananchi wa kijiji cha Wami Luwindo kilichopo Dakawa Wilaya ya Mvomero kukagua mradi wa skimu ya umwagiliaji uanondeshwa na Serikali ya kijiji hicho. 
Wajasiliamali wadogo kutoka vikundi vya mbalimbali vilivyopo wilayani Mvomero wakitoa maelezo kuhusu bidhaa wanazozalisha kwa Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile alipotembelea Wilaya hiyo jana kujionea kazi za vikundi hivyo wakati wa ziara yake ya siku tatu Mkoani humo. 
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akikabidhi milioni moja kwa Mwenyekiti Skimu ya Umwagiliaji wa kijiji cha Wami Luwindo kilichopo Dakawa Wilaya ya Mvomero Bw. Juma Achumu kama mchango wa Wizara yake kuwezesha na kuamsha hari ya Wananchi kijiletea maendeleo. Picha na Kitengo cha Mawasiliano WAMJW .


KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>


Hivyo makala ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO

yaani makala yote ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/10/ziara-ya-dkt-ndugulile-katika-vikundi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "ZIARA YA DKT NDUGULILE KATIKA VIKUNDI VYA WANAWAKE WAJASIRIAMALI MVOMERO MOROGORO"

Post a Comment

Loading...