Loading...

Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA

Loading...
Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA
link : Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA

soma pia


Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA

Katika mechi ya nne ya hatua ya makundi kwenye ligi ya EUROPA Alhamisi hii timu ya Arsenal itakuwa nyumbani katika dimba la Emirates dhidi ya Sporting CP ya Ureno. Katika mchezo wao wa mzunguko wa kwanza Arsenal waliibuka na ushindi wa bao 1 ambao uliwawezesha kuwa vinara na kuongoza kundi E.
Arsenal wamekuwa katika kiwango bora na wanacheza kandanda safi tangu wampate kocha Unai Emery ambaye amebadilisha aina ya uchezeji wake. Mchezo huo utachezwa Alhamisi tar 8 Novemba, majira ya saa 5:00 Usiku saa za Afrika Mashariki na utarushwa moja kwa moja kupitia chaneli ya ST World Football katika king’amuzi cha StarTimes.
Katika Usiku huo wa EUROPA mechi nyingine zitakazochezwa ni pamoja na ule wa Chelsea ambao watakuwa ugenini dhidi ya BATE Borisov (saa 2:55 Usiku), Fenerbahce vs Anderlecht (saa 12:50 jioni), Lazio vs Olympique Marseille (saa 2:55 Usiku), Celtic vs RB Leipzig (saa 5:00 Usiku) na Real Betis vs AC Milan (saa 5:00 Usiku), yote kupitia chaneli za michezo za StarTimes.
Michuano ya EUROPA inaonyeshwa kupitia king’amuzi cha StarTimes pekee na kwa wateja wa StarTimes wanatakiwa kulipia kifurushi cha MAMBO kwa Tsh 14,000 kwa upande wa Antenna na wale wanaotumia dish watalipia Tsh 21,000 tu, kupata uhondo huu.
Mbali na ligi ya EUROPA StarTimes wanaonyesha ligi ya Bundesliga pamoja ile ya Ufaransa, maarufu kama Ligue 1. Katika Bundesliga wikiendi hii kuna mchezo mkubwa ambao unafahamika kama Der Klassiker unaokutanisha miamba miwili, wazee njano na nyeusi Borussia Dortmund watawakaribisha Bayern Munich katika dimba la Signal Iduna Park saa 2:30 Usiku jumamosi hii.
Dortmund ndio vinara wa ligi hiyo baada ya kuanza vizuri msimu huu wakiwa hawajapoteza mchezo wowote hadi sasa. Bayern ambao wamesuasua sana msimu watakuwa na kibarua kigumu kuidhibiti safu ya ushambuliaji ya Dortmund ambayo in amagoli kila kona.



Hivyo makala Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA

yaani makala yote Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/arsenal-mikononi-mwa-sporting-cp-usiku.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Arsenal mikononi mwa Sporting CP usiku wa EUROPA"

Post a Comment

Loading...