Loading...

WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI.

Loading...
WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI.
link : WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI.

soma pia


WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI.


Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Isack Kamwelwe (kushoto) akipewa 
muongozo wa kitaalam wa usanifu wa uchanganyaji lami.
Na Noel Rukanuga, Dar es Salaam.
Wakandarasi wametakiwa kutumia vyema muongozo wa kitaalam wa usanifu wa uchanganyaji lami jambo ambalo litasaidia kufanya kazi zao kwa ufasini mkubwa.

Akizunguma leo jijini Dar es Salaam katika hafla ya kuzindua muongozo wa kitaalam wa usanifu wa uchanganyaji lami Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhandisi Isack Kamwelwe, amesema kuwa wahandisi kutumia muongozo huo ili kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Mhandisi Kamwelwe, amesema kuwa wakati umefika wa kuendelea kufanya kazi kwa ufanisi hasa katika kuhakikisha miundombinu inakuwa bora.

Amesema kuwa muongozo huo umepenga kutatua changamoto mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za mara kwa mara kwa barabara zinazojengwa.

Mhandisi Kamwelwe amesema kuwa  muongozo huo upo sahihi kwani utasaidia kuboresha zaidi usanifu wa lami zilizoainishwa katika muongozo huo.

“Barabara ndiyo njia kuu ya usafirishaji wa abiria na mizigo na zaidi ya asilimia 90 ni abiria na zaidi ya asilimia 75 ya mizigo usafirishwa kwa njia ya barabara,” amesema Mhandisi Kamwelwe.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania TAN ROADS Mhandisi Patrick Mfugale, amesema uchunguzi uliofanyika umebaini kuwa kuharibika kwa lami kunachangiwa na mapungufu katika taratibu wa kusanifu lami mchanganyiko.

Amesema kuwa muongozo huo utasaidia kutatua changamoto hiyo pamoja na athari za tania na mazingira.

Mhandisi Mfugale amesema kuwa muongozo huo ilipitiwa na kuboreshwa na wataalam mbalimbali  wakiwemo wawakilishi kutoka Vyuo Vikuu nchini, sekta ya ujenzi wahandisi washauri, wakandarasi na taasisi nyingine za ujenzi.

Mwongozo huo umendaliwa na wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kupitia idara ya maabara na utafiti(CML) mwaka 2016 kwa kushirikiana na taasisi ya utafiti ya Afrika ya Kusini CSIR na kukamilika mwaka huu.



Hivyo makala WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI.

yaani makala yote WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-kamwelwe-azindua-muongozo-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KAMWELWE AZINDUA MUONGOZO WA KITAALAM USANIFU LAMI."

Post a Comment

Loading...