Loading...

BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA

Loading...
BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA
link : BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA

soma pia


BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA

 Mkufunzi kutoka Baraza la Kilimo Tanzania Dkt Freddy Gamba akisisitiza jambo wakati akitoa mafunzo ya Uongozi na Utawala bora kwa wanachama wa Baraza la Kilimo Tanzania, ambapo wanachama hao wanatarajia kunufaika na mafunzo hayo kwa siku mbili yanayofanyika Dar es Salaam, huku lengo kuu ikiwa ni kuwajengea uwezo kiutendaji wanachama wa baraza katika taasisi wanazoziongoza. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Kilimo Tanzania Bi Janeth Bitegeko akisisitiza jambo kwa wanachama wa Baraza la Kilimo wanaoshiriki semina ya siku mbili ya Uongozi na Utawala bora, mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo zaidi wa kiutendaji wanachama wa Baraza la Kilimo Tanzania ambao ni viongozi katika taasisi wanazoziongoza.
 Baadhi ya wanachama wa Baraza la Kilimo Tanzania ambao wanatoka kwenye Taasisi za TAMPRODA, SECO,  SUWA Farmers Association, Agri link Tanzania na Morogoro Rural Agro Dealers  Association, wakifuatilia mafunzo ya Uongozi na Utawala bora, mafunzo hayo ya siku mbili yanayofanyika Dar es Salaam yameratibiwa na Baraza la Kilimo Tanzania.
 Mwenyekiti wa taasisi ya Morogoro Rural Agro Bw Michael Mpembwa akijadili jambo na washiriki wenzake na wa semina ya uongozi na uatawala bora, mafunzo hayo yanalenga kuwajengea uwezo wa kiutendaji wanachama wa baraza la kilimo Tanzania.
Afisa Uhamasishaji Maendeleo ya wanachama na Uhusiano Kimtandao kutoka Baraza la Kilimo Tanzania Bw Khalid Ngasa na washiriki wengine wa semina ya siku mbili ya Uongozi na Utawala Bora, Semina hiyo imelenga katika kuwajengea uwezo zaidi wa kiutendaji wa wanachama wa Baraza la Kilimo Tanzania ambao ni viongozi katika taasisi wanazoziongoza.


Hivyo makala BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA

yaani makala yote BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/baraza-la-kilimo-tanzania-lawafunda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BARAZA LA KILIMO TANZANIA LAWAFUNDA WANACHAMA WAKE KUHUSU UONGOZI NA UTAWALA BORA"

Post a Comment

Loading...