Loading...

DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM.

Loading...
DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM.
link : DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM.

soma pia


DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM.

Mshambuliaji wa timu ya Azam, Donald Ngoma ambaye alisajiliwa akitokea Yanga, amelivuruga benchi la ufundi kutokana na kadi nyekundu aliyopata katika mchezo wao dhidi ya Kagera Sugar hivyo kushindwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza na Ruvu Shooting Novemba 22.

Kocha Msaidizi wa Azam FC, Iddy Cheche amesema kuwa Ngoma ni mchezaji mzuri ambaye anauwezo wa kubadilisha matokeo ila watamkosa katika mchezo wao ujao kutokana na adhabu aliyonayo hali itakayowafanya watafute mbadala wake.

"Tayari alishaanza kuonyesha makali yake ambayo tuliyatarajia ila kutokana na adhabu yake ya kadi nyekundu ataukosa mchezo ujao, sasa tutakachofanya ni kutumia mchezaji mwingine kwani kwa sasa tuna kikosi kipana chenye wachezaji makini," alisema.

Ngoma amefanikiwa kufunga mabao 3 kwa sasa baada ya kurejea kwenye hali yake alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya goti, jukumu lake kubwa uwanjani alilopewa ni kufunga na kutengeneza pasi ya bao.


Hivyo makala DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM.

yaani makala yote DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/donald-ngoma-aivuruga-benchi-la-ufundi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DONALD NGOMA AIVURUGA BENCHI LA UFUNDI AZAM FM."

Post a Comment

Loading...