Loading...
title : IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO
link : IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO
IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Hamis Issah (kushoto), wakati alipofanya ziara ya Ukaguzi katika eneo la mafunzo ya mbinu za medani Kilelepori wilayani Siha mkoani Kilimanjaro leo 28/11/2018. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na wanafunzi wanaopata mafunzo kwa ngazi ya Uofisa pamoja na Mkaguzi wa Jeshi hilo katika Shule ya Polisi Moshi eneo la Kilelepori wilayani Siha mkoani Kilimajaro leo 28/11/2018. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akisalimiana na baadhi ya Wakufunzi wa Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro wakati alipofanya ziara ya Ukaguzi Leo 28/11/2018. Picha na Jeshi la Polisi.
Hivyo makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO
yaani makala yote IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/igp-sirro-afanya-ziara-ya-ukaguzi.html
0 Response to "IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA UKAGUZI UWANJA WA MBINU ZA MEDANI KILIMANJARO"
Post a Comment