Loading...

UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI

Loading...
UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI
link : UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI

soma pia


UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Kilosa

ujenzi wa reli ya kisasa kwa kipande cha pili kuanzia eneo la Morogoro hadi Makutupora Singida, unazidi kushika kasi baada ya wakandarasi wa ujenzi wa reli hiyo kumaliza kazi muhimu.

Kazi hizo ni pamoja na uchukuaji wa sampuli za udongo, miamba kwenye milima itakayapasuliwa, kuchonga, kupasua na kujaza udongo kwenye njia za reli ya mwendokasi pamoja na kumalizia ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza mataluma ya reli.

Hayo yalibainika kwenye ziara ya maalumu iliyoandaliwa na kampuni ya Ador Tanzania kwa waandishi mbalimbali nchini, ili kujionea ufanyaji kazi wa ujenzi wa reli hiyo kuanzia Morogoro hadi Makutupora.

Ujenzi wa reli hiyo kwa kipande hicho, unajengwa na Kampuni ya Yepi Merkezi kwa gharama ya dola bilioni 2, ambapo Meneja Mradi huo katika Lot 2 inayotoka Morogoro Mpaka Makutupola, Dk. Husnis Uysa amesema wamekamimilisha mambo ya Msingi katika ujenzi huo.

Amesema tayari wameshaleta vifaa ambavyo zaidi ya magari 3,085, ambayo ipo katika eneo la mradi, huku pia kambi za mafundi na wafanyakazi kujengwa katika maeneo mbalimbali ikiwemo Mkata, Kilosa na Makutupora.
Meneja mradi wa Standard Gauge kipande cha Morogoro hadi Makutupora kwa upande wa Shirika la reli nchini(TRC), Injinia Faustin Kataraia akiwaeleza Waandishi wa Habari namna mradi huo utakavyoungana na ule wa kutoka Dar mpaka Ngerengere.
Meneja Mradi wa SGR katika Lot 2 inayotoka Morogoro Mpaka Makutupola, Dk. Husnis Uysa akizungumza na Waandishi w ahabari juu ya hatua zilizochukuliwa katika kutekeleza Mradi huo. 
Sehemu ya Waandishi wa Habari waliotembelea mradi wa SGR Kutoka Morogoro mpaka Makutupora wakiangalia mashine ya kusagia kokoto
Sehemu ya Makandarasi wakiendelea na ujenzi wa tuta kutoka Morogoro mpaka Makutupora Singida.
Mtambo wa kusagia Kokoto ukiwa umefungw akatika moja ya vituo vya kazi katika tuta la Morogoro kama unavyoonekana.



Hivyo makala UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI

yaani makala yote UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/ujenzi-wa-reli-kipande-cha-pili.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UJENZI WA RELI KIPANDE CHA PILI MOROGORO HADI MAKUTUPORA SINGIDA WASHIKA KASI"

Post a Comment

Loading...