Loading...

MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI

Loading...
MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI
link : MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI

soma pia


MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI

Na Karama Kenyunko, Glogu ya jamii

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia dhamana Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko kwa kukiuka masharti ya dhamana katika kesi ya uchochezi inayowakabili wao pamoja na viongozi wenzao saba wa chama hicho.

Uamuzi huo umetolewa leo asubuhi Novemba 23, 2018 na Hakimu Mkazi Mkuu Wilbard Mashauri.

Akitoa uamuzi huo dhidi ya Mbowe na Matiko, Hakimu Mashauri amesema, kitendo cha washtakiwa hao kutokufika mahakamani bila ya kuwa na sababu za msingi ni kudharau amri za Mahakama kwa makusudi.

Akitoa uamuzi kuhusu mshtakiwa Mbowe, Hakimu Mashauri amesema, sababu zilizotolewa na mdhamini wake Novemba Mosi mwaka huu kuwa mshtakiwa huyo aliugua ghafla na kupelekwa nje ya nchi akiwa mahututi huku Wakili wake Peter Kibatala akieleza kuwa alipelekwa Afrika Kusini kwa matibabu si za kweli kwa sababu zinakinzana na taarifa alizotoa mshtakiwa mwenyewe.

Amesema, Mbowe katika maelezo yake alieleza kuwa alisafiri nchini Oktoba 28 mwaka huu kuelekea Washngton DC kuhudhuri mkutano wa Oktoba 30 na kwamba Oktoba 31, usiku alipotaka kusafiri kurejea nchini kwa ajili ya kesi hiyo iliyopangwa kuwepo Novemba Mosi, mwaka huu alishambuliwa na ugonjwa wa ghafla.

Alieleza kulingana na ugonjwa wake, madaktari waliokuwa wakimtibu, walimshauri asisafiri umbali mrefu kwa ndege lakini hata hivyo hati yake ya kusafiria inaonesha alisafiri umbali mwingine mrefu kwa kwenda Marekani kwa ndege na kitu kinachoonyesha kwamba alikuwa anadharau amri za mahakama kwa makusudi kwa sababu amezungumza mambo ya uongo.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe akiwa chini ya ulinzi baada kufutiwa dhamana kwa kukiuka masharti ya dhamana katika kesi ya uchochezi inayomkabili yeye na viongozi wenzake nane wa Chadema baada ya kesi hiyo kuahirishwa hadi saa saba mchana kwa ajili ya mahakama kutoa uamuzi kama kesi hiyo iendelee katika hatua ya usikilizwaji leo ama la.




Hivyo makala MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI

yaani makala yote MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mahakama-yafuta-dhamana-ya-mbowematiko.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAHAKAMA YAFUTA DHAMANA YA MBOWE,MATIKO KWA KUKIUKA MASHARTI KESI YA UCHOCHEZI"

Post a Comment

Loading...