Loading...
title : MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB
link : MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB
MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akimkaribisha ofisini kwake, Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti aliyemtembelea na kuzungumza naye maswala yakiwemo ya kibiashara kwa mkoa wa Kagera, kilichofanyika jana jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Brigedia Jenerali Marco Gaguti (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alipomtembelea ofisini kwake, jijini Dar es salaam kwa mazungumzo.
Hivyo makala MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB
yaani makala yote MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mkuu-wa-mkoa-wa-kagera-amtembelea.html
0 Response to "MKUU WA MKOA WA KAGERA AMTEMBELEA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB"
Post a Comment