Loading...

MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM

Loading...
MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM
link : MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM

soma pia


MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM

UNIVERSAL AUCTION CENTRE Kwa idhini waliyopewa na EUROPEAN UNION, UNICEF, FHI360, WORLD BANK NA BAM INTERNATIONAL watauza kwa mnada wa hadhara Fanicha za ofisini, vifaa vya maofisini, magari, genereta na makontena matupu tarehe 17 November, 2018 Jumamosi kuanzia saa 3:30 asubuhi. Mnada utafanyika Golden Resort Sinza, Mtaa wa Lion, 
Dar es salaam

Mali Zitakazouzwa: Meza za Ofisi 70, Viti vya Ofisi, Chest drawer,  Vitanda, Magodoro, Book case, Steel Cabnet, Fridge, Mashine kubwa za kufua, Canon Photo copy mashine10 model C2220i,2225i & 2230i colour, Power bank 3KVA(UPS) Viyoyozi vingi (A/c Split unit) Fertilizer Spreader m/c, 8 units assorted GYM machines,Trailer 2 Tons na vingine vingi. 

Magari, Trela,Genereta na Samani  zote zinaweza kukaguliwa Golden Resort Sinza,Lion Street kuanzia tarehe 14 mpaka 16 November, 2018, saa 4:00asubuhi mpaka saa 11:00 jioni.

Makontena yanaweza kukaguliwa BAM International eneo la mradi JK Nyerere International Air port Terminal 3 November 14 – 16,2018 Saa 3:00asubuhi mpaka Saa 5:00asubuhi na Saa  7:00mchana mpaka Saa 10:00jioni.
MASHARTI YA MNADA.
Mnunuzi  wa Fanicha atatakiwa kulipa malipo yote kwa keshia (cashier). Na mnunuzi wa    Gari, Kontena na genereta atatakiwa kulipa 25% pale pale na salio lilipwe ndani ya siku 5 za kazi  mwisho wa kulipa tarehe 23,November 2018 saa 10:00 jioni, ukishindwa kulipa kwa muda huo Gari, Kontena au Genereta litauzwa  kwa mshindi mwingine aliyefata  na dhamana haitarudishwa.
Malipo kwa njia ya VISA na Master cards za bank ya CRDB yanakubalika.
Mali zote zitauzwa kama zilivyo bila dhamana.
Mnunuzi atawajibika kulipa ushuru na kodi zingine zote.
Mali yote iliyouzwa itatakiwa kuondolewa baada ya kulipa malipo yote pamoja na kodi
Kila mtu atatakiwa lazima kuwa na bid namba itakayopatikana getini.

Kwa maelezo zaidi waone:
UNIVERSAL AUCTION CENTRE 
PLOT NO: 5 “E” LION STREET SINZA             DAR ES SALAAM
CELL NO:  0754 284 926,  0757 284 926           E-mail: universalauction@hotmail.com



Hivyo makala MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM

yaani makala yote MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/mnada-wa-hadhara-mali-za-european-union.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MNADA WA HADHARA MALI ZA EUROPEAN UNION, UNICEF, FAMILY HEALTH INTERNATIONAL, WORLD BANK GROUP & BAM INTERNATIONAL BV TANZANIA DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...