Loading...

Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba

Loading...
Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba
link : Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba

soma pia


Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba

 NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akipata maelezo jinsi ya kuliendesha Trekta kabla ya uzinduzi wa msimu wa kilimo zanzibar, uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya wananchi na wakulima wa Pujini katika Bonde la Gurumo, wakimuangalia Naibu Waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, wakati akizindua msimu wa Kilimo Zanzibar 2018/2019 kwa kulima moja ya mashamba ya wakulima, uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


  NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akizindua msimu wa kilimo Zanzibar 2018/2019  kwa kulima katika moja ya mashamba ya wakulima Pujini,  uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
 NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akiwaongaza baadhi ya matrekta katika uzinduzi wa msimu wa kilimo  Zaznibar 2018/2019 kwenye  moja ya shaba la wakulima katika bonde la Ngurumo Pujini,  uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


 NAIBU waziri wa Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Dr Makame Ali Ussi, akizungumza na wakulima mbali mbali wa shehia ya Pujini Wilaya ya Chake Chake, baada ya  uzinduzi wa msimu wa kilimo Zanzibar 2018/2019, uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
BAADHI ya Materkta ya Wizara ya Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar yakiendelea na zoezi la kuwalimia wananchi wa Bonde la Ngurumo Wilaya ya Chake Chake, baada ya kukamilika kwa zoezi la uzinduzi wa msimu wa kilimo Zanzibar 2018/2019  uzinduzi huo umefanyika katika Bonde la Ngurumo Pujini Wilaya ya Chake Chake Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)


Hivyo makala Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba

yaani makala yote Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/naibu-waziri-kilimo-maliasili-mifugo-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Naibu Waziri Kilimo, Maliasili, Mifugo na Uvuvi azindua msimu wa kilimo bonde la Ngurumo , Pujini Pemba"

Post a Comment

Loading...