Loading...

NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini

Loading...
NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini
link : NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini

soma pia


NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini


Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani leo tarehe 12 Novemba, 2018 amevunja rasmi Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA) iliyokuwa ikiongozwa na Dkt. Gideona Kaunda.

Uamuzi huo ameutoa katika Mkutano wake na waandishi wa habari uliofanyika katika Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dodoma. Alisema kuwa, Bodi hiyo iliundwa mwaka 2017, kwa mujibu wa Sheria ya Wakala Vijijini Na.8 ya Mwaka 2005 (The Rural Energy Act. No.8 of 2005). 

“ Bodi hii imetekeleza majukumu yake kwa takriban mwaka mmoja (1) sasa na katika kipindi hicho ambapo Bodi hii imekuwepo, ninapenda kuwajulisha kwamba kwa ujumla sijaridhishwa na utendaji wake,” alisema Dkt Kalemani.Hivyo alieleza kuwa, kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu 9(3)(b) cha Sheria Na. 8 ya Nishati Vijijini ya 2005, ameamua kuivunja Bodi hiyo kwa kutengua uteuzi wa Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Bodi.

Aliongeza kuwa, Bodi nyingine mpya itaundwa baadaye kwa mujibu wa Sheria ya Nishati Vijijini ya mwaka 2005. Bodi hiyo ilizinduliwa mwezi Aprili mwaka 2017 na ina wajumbe Saba.
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuivunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt Hamisi Mwinyimvua.


Hivyo makala NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini

yaani makala yote NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/newz-alert-waziri-wa-nishati-avunja.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEWZ ALERT: Waziri wa Nishati avunja Bodi ya Wakala wa Nishati Vijijini"

Post a Comment

Loading...