Loading...

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA

Loading...
NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA
link : NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA

soma pia


NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linashiriki maonyesho ya viwanda vidogo vidogo yanayoendelea mkoani Mtwara kuanzia Novemba 5 hadi 11,2018. Maonyesho hayo yalianzia mkoani Simiyu, na sasa yanaendelea mkoa wa Mtwara na yatamalizikia mkoani Tanga.

Maonesho haya yenye lengo kuu la kuwasidia wajasiriamali kupata masoko ya bidhaa zao, kujifunza kupitia wenzao na kujenga mahusiano baina ya taasisi moja na nyingine, yameshirikisha taasisi takribani 16 za kiserikali na zisizo za kiserikali pamoja wajasiriamali zaidi ya 278 kutoka mkoa wa mtwara na mikoa ya jirani.

NSSF kupitia maonesho hayo imepata fursa ya kuwafikia washiriki Mbalimbali na kutoa elimu kwa ukaribu zaidi juu ya huduma zitolewazo na shirika pamoja na hifadhi ya jamii kwa ujumla.Baada ya kupatiwa elimu wajasiriamali wanapata nafasi ya kusajiliwa na kuwa wanachama wa nssf ili nao waweze kunufaika na mafao yote yatolewayo na shirika hili ambayo ni pamoja na matibabu bure kwao na familia zao.

Meneja wa NSSF mkoa wa Mtwara,Ndugu
Stanley Millanzi  ametoa wito kwa wakazi wa Mtwara, mikoa ya karibu na nchi nzima kwa ujumla kutembelea banda la NSSF katika maonesho hayo ili kupata elimu na kujiandikisha, hususan baada ya Mabadiliko ya sheria yaliyofanyika mwaka 2018, ambapo NSSF ilipewa jukumu la kuwaandikisha na kuwapa hifadhi ya jamii wananchi wote waliopo katika sekta binafsi na sekta isiyo rasmi ikiwemo wajasiriamali. 
 Afisa uhusiano wa NSSF Rehema Urembo akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri wa viwanda Mhandisi  Stella Manyanya katika banda la NSSF kwenye maonesho ya viwanda vidogo yanayoendelea mkoani Mtwara
 Naibu Waziri wa viwanda Mhandisi  Stella Manyanya akiwa sambamba na Mbunge wa Mtwara Vijijini Mh Hawa Ghasi wakimsikiliza  Afisa uhusiano wa NSSF Rehema Urembo alipokuwa akitoa ufafanuzi wa baadhi ya huduma zitolowezo na Shirika hilo,kwenye maonesho ya viwanda vidogo yanayoendelea mkoani Mtwara

Meneja NSSF na PSSSF  mkoa Mtwara,Ndugu Stanley Millanzi  pamoja na Zaida Mhava wakimsikiliza Naibu Waziri wa viwanda Mhandisi  Stella Manyanya (hayupo pichani) kwenye  Banda la NSSF,wakati wa maonesho ya SIDO yakiendelea mkoani Mtwara



Hivyo makala NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA

yaani makala yote NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/nssf-yashiriki-maonyesho-ya-viwanda.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA VIDOGO MKOANI MTWARA"

Post a Comment

Loading...