Loading...
title : ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO
link : ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO
ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii
Msanii wa muziki wa Bonofleva Ali Kiba amemjibu msanii mwenzake Naseeb Abdul 'Diamond Platinumz' kuptia ukurasa wake wa Instagrama kuwa amekubali mualiko wa kwenda kushiriki katika tamasha la Wasafi Festival.
Katika ujumbe wake Ali Kiba amesema kuwa, ameshurukuru kwa kupata mualiko wao ila hataweza kushiriki kutoakana na kuwa na majukumu mengine ya kuzindua kinywaji chake ch Mofaya Energy.
Mbali na hilo Kiba amemuomba Diamond kudhamini tamasha hilo ili kusongesha gurudumu la muziki wa Tanzania.
"Pia ndugu zangu #Wasafi tumepata salamu zenu, nashukuru kwa mualiko wenu, ila kwa bahati mbaya sitoweza kushiriki kwa sasa kutokana na majukumu ya kuzindua Mofaya katika nchi zingine. Hata hivyo tusingependa kuwaacha hivi hivi, tupo tayari kuwapa support ya kudhamini tamasha lenu kupitia #MofayaEnergyDrink ili kuweza kusukuma mbele gurudumu la maendeleo ya sanaa yetu Tanzania na Africa . Management #RockstarAfrica yangu tutaendelea kuwasiliana nanyi tuweze kufanya hili jambo kubwa "
Hivyo makala ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO
yaani makala yote ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/alikiba-akubali-kushiriki-wasafi.html
0 Response to "ALIKIBA AKUBALI KUSHIRIKI WASAFI FESTIVAL, MOFAYA KUDHAMINI TAMASHA HILO"
Post a Comment