Loading...
title : RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI
link : RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI
RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI
Na. Vero Ignatus, Arusha
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ameanza ziara yake ya siku tatu katika wilaya za Arusha, Arumeru na Longido kukagua maendeleo ya Miradi Mikubwa ya Maji inayotekelezwa katika wilaya hizo.
Akiwa katika halmashauri ya Jiji la Arusha Gambo ametembelea mradi mkubwa wa Maji unaotekelezwa Jijini humo pamoja na baadhi ya kata za wilaya ya Arumeru.Gambo ameitaka Bodi ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafishaji Mazingira Jiji la Arusha AUWSA kuweka kipaumbele katika utunzaji wa vyanzo vya Maji vilivyopo katika mlima Meru ili kuhakikisha miradi hii inayotumia fedha nyingi inakua endelevu.
“Nimewahi kusikia wataalam wa Maji wakisema Vita ya Tatu ya dunia itahusisha kugombea maji, ninaomba sisi tuanze kujihami kwa kutunza vyanzo vyetu vya maji''alisema Gambo
Ameotaka bodi ya AUWSA kuandika andiko la mradi ambalo watalipigia debe katika Ofisi ya Makamu wa Rais inayoshughulikia Mazingira ili kuweza kupata ufadhili wa kampeni hiyo ya utunzaji wa Vyanzo vya Maji. "Itakua haina maana kutumia kiasi kikubwa hivi cha fedha ikiwa baada ya miaka michache ijayo vyanzo vyote vitakauka” alisema Gambo"
Naye Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Jiji la Arusha (AUWSA) Mhandisi Ruth Koya alisema mradi huo utakamilika Juni mwaka 2020 na wanatarajia Arusha itanufaika na mradi huo kwa kuwa ukosefu wa maji utakua historia.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha akiangalia moja ya Visima ambavyo ni chanzo cha Maji yanayotarajiwa kuhudumia Jiji la Arusha.
Mkuu wa Mkoa Mrisho Gambo (wa kwanza kushoto) akipokea maelezo ya mapito ya mtandao wa maji taka.
Mafundi wa kampuni ya Cheil Engeneering wakiwa katika uchimbaji wa kisima kilichopo wilayani Arumeru
Miundo mbinu ya mfumo wa maji taka, mabwawa haya yanajengwa katika eneo la Terrat pembezoni mwa Jiji la Arusha. Mabwawa haya yanakadiriwa kuwa na uwezo wa kutibu takribaniita Milioni 22 kwa siku za Maji Taka.

Hivyo makala RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI
yaani makala yote RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/rc-gambo-aanza-ziara-ya-siku-tatu-ya.html
0 Response to "RC GAMBO AANZA ZIARA YA SIKU TATU YA UKAGUZI WA MIRADI MIKUBWA YA MAJI"
Post a Comment