Loading...

WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA

Loading...
WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA
link : WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA

soma pia


WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA

Na. Vero Ignatus, Manyara.

Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Abdallah Saqware Baghayo amewataka wafanyabiashara hapa nchini wanaoagiza bidhaa kutoka nje ya nchi kwa kutumia njia ya magari,ndege,meli ikatiwe Bima kutoka katika makampuni yaliyosajiliwa na mamlaka hiyo.

Akizungumza wakati wa kukabidhi Madarasa Mawili Ofisi Pamoja na Vyoo katika shule ya msingi Gedamar iliyopo Wilayani Babati Mkoani Manyara,Baghayo amesema ni kosa kwa mfanyabiashara kisheria kwa mfanyabiashara kunua bidhaa ambayo haijasajiliwa na mamlaka hiyo.

Amesema ni tegemeo la serikali kuwa makampuni yaliyopewa leseni yatapata biashara ya uagizaji wa bidhaa huku akiwataka wananchi kutambua umuhimu wa bima na kufuata sheria.Dkt.Baghayo amesema mabadiliko ya sheria hiyo yalisainiwa na raisi Dkt.John Pombe Magufuli ili kuweza kutekelezwa na kuzuia wafanyabiashara kutumia bima kupitia makampuni yasiyo sajiliwa.

Kwa Upande wake Mkuu wa Kitengo cha fedha kutoka Jubilee Life Insuarence Helena Mzena alisema kuwa kampuni hiyo inatimiza miaka 80 tangu kuanzishwa kwake, hivyo kuamua kurudisha faida kwa jamii kwa kuangalia changamoto mbali mbali zilizopo katika shule ya msingi hapa nchini.

Kamishna wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima nchini Dkt. Abdallah Saqware Baghayo akizungumza na waalimu, viongozi wa kijiji cha Gedamar
Mkurugenzi wa Kampuni ya Bima ya Jubilee. Dipankar Acharya Mkuu wa Kitengo cha fedha kutoka Jubilee Life Insuarence Helena Mzena akizungumza katika hafla hiyo.



Hivyo makala WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA

yaani makala yote WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wafanyabiashara-tumieni-makampuni.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAFANYABIASHARA TUMIENI MAKAMPUNI YALIYOSAJILIWA NA TIRA KUAGIZA BIDHAA-TIRA"

Post a Comment

Loading...