Loading...

wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa

Loading...
wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa
link : wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa

soma pia


wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa

 Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Happiness Kusekwa akipokea zawadi ya Daktari bora wa mwezi Oktoba kutoka kwa Mkurugenzi wa Tiba ya Moyo na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Peter Kisenge wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo. Zawadi hizo zilitolewa na kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro
Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Huduma ya Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Robert Mallya akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi Oktoba Afisa Muuguzi Msaidizi Keyness Erasmus Mng’anya wa JKCI wakati wa hafla fupi ya utoaji zawadi kwa wafanyakazi bora iliyofanyika jana katika ukumbi wa mikutano wa taasisi hiyo. Zawadi hizo zilitolewa na kampuni ya dawa za binadamu ya Samiro. Picha na: Genofeva Matemu - JKCI


Hivyo makala wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa

yaani makala yote wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/wafanyakazi-bora-wa-mwezi-oktoba-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "wafanyakazi bora wa mwezi Oktoba wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wapongezwa"

Post a Comment

Loading...