Loading...

AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI.

Loading...
AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI.
link : AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI.

soma pia


AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI.


Ajali za barabarani zinatajwa kuwa ndio zinasababisha vifo vingi vya watoto na vijana duniani, kwa mujibu wa shirika la afya duniani(WHO).

Shirika hilo la afya limechapisha ripoti ambayo inabainisha kwamba bara la Afrika ndilo lina ajali nyingi za barabarani duniani.

Katika taarifa nyingi zinasema kwamba waafrika na wamarekani wa Kusini bado hawana sheria nzuri za kudhibiti mwendo kasi.

Lakini taarifa hizo zimesisitiza kwamba vifo vinavyotokana na ajali za barabarani duniani huwa zinalingana na kiwango cha idadi ya watu.

Ajali za magari ndio zinaongoza duniani kusababisha vifo kwa watoto na vijana wenye umri kati ya miaka mitano mpaka 29, ripoti hiyo imesema.

Ripoti hiyo pia imeeleza kwamba watu wengi zaidi wanakufa kutokana na ajali za barabarani kuliko virusi vya ukimwi , kifua kikuu au magojwa ya kuhara.

"Vifo hivyo havikubaliki, hakuna sababu inayoweza kutetea matukio hayo .Hili ni tatizo ambalo linaweza kutafutiwa ufumbuzi" Mkurugenzi wa WHO alisema.

Chanzo:Bbc


Hivyo makala AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI.

yaani makala yote AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/afrika-yaongoza-ajali-za-barabarani.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AFRIKA YAONGOZA AJALI ZA BARABARANI DUNIANI."

Post a Comment

Loading...