Loading...

TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR

Loading...
TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR
link : TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR

soma pia


TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR

Bango lenye Kauli Mbiu,' HAKUNA NCHI ITAKAYOBAKI NYUMA' ikiwa ni ujumbe wa Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Wafanyakazi na wananchi walioungana katika kilele cha maadhimisho ya  Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Mbuttolwe Kabeta (wa piku kulia) akipokea maandamano katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Mbuttolwe Kabeta (wa kwanza kushoto) akipandisha bendera ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi na wananchi wakimshangilia Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Mbuttolwe Kabeta katika Kilele cha maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Usafiri wa Anga Duniani (ICAD) yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Kaimu Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania Mbuttolwe Kabeta alisema kuwa Tanzania kama mwanachama hai wa ICAO, imeendelea kutekeleza kwa vitendo kauli mbiu hiyo ili kukuza sekta na kuifanya itoe mchango wake kikamilifu.

 Alisema jitihada za TCAA za kuboresha miundombinu pamoja na raslimali watu zimeanza kuzaa matunda. Matokeo mazuri ya ukaguzi uliofanywa na Shirika la Kimataifa la Usafiri wa Anga (ICAO) mwaka 2017 kuhusu uwezo wa Tanzania katika kusimamia na kudhibiti usalama wa sekta ni udhibitisho tosha ambapo matokeo ya ukaguzi yaliyotolewa Septemba 2017 yalionyesha uwezo wa Tanzania wa kudhibiti sekta umeongezeka toka 37.8 (2013) hadi asilimia 64.35 (2017). Alama hizo zinaifanya Tanzania kuwa juu ya kiwango cha wastani wa asilimia 60 kilichowekwa na Shirika hilo.


Hivyo makala TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR

yaani makala yote TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/tcaa-yaadhimisha-siku-ya-kimataifa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TCAA YAADHIMISHA SIKU YA KIMATAIFA USAFIRI WA ANGA DUNIANI JIJINI DAR"

Post a Comment

Loading...