Loading...
title :
link :
BRIGEDIA wa Brigedi ya Nyuki, Fadhil Omar Nondo akiagana na Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, anaeshughulikia masuala ya operesheni na ulinzi wa amani, Jean Pierre Lacroix baada ya kumaliza ziara yake na ujumbe wake wa kuzifariji familia za wanajeshi waliuawa na waasi Nchini Congo mwaka jana
MSAIDIZI wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), anaeshughulikia masuala ya Operesheni na ulinzi wa Amani, Jean Pierre Lacroix (mwenye suti) akisalimiana na baadhi ya wanafamilia ya maaskari waliouwa na waasi Nchini Congo mwaka jana, wakati alipofika Zanzibar na ujumbe wake kuzifariji familia za maaskari hao. Kushoto Brigedia wa Brigedi ya Nyuki, Fadhil Omar Nondo
MSAIDIZI wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), anaeshughulikia masuala ya Operesheni na ulinzi wa Amani, Jean Pierre Lacroix akikagua gwaride maalum aliloandaliwa wakati alipofika Zanzibar kuzifariji familia za wanajeshi waliuawa na waasi Nchini Congo mwaka jana
Hivyo makala
yaani makala yote
Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/brigedia-wa-brigedi-ya-nyuki-fadhil.html
0 Response to " "
Post a Comment