Loading...
title : KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA
link : KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA
KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA
Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
SERIKALI imesema kuwa inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)katika kuandaa watalaam wa Tasnia ya Uhasibu, Ununuzi na Ugavi Biashara pamoja na uongozi wa Rasilimali Watu.
Hayo ameyasema Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James wakati alipomwakilisha Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango katika mahafali ya 16 ya Taasisi Uhasibu Tanzania kwa Kampasi za Dar es Salaam pamoja na Mtwara yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hio jijini Dar es Salaam.
James amesema kuwa serikali itaendelea kuunga mkono pamoja na taasisi kutekeleza majukumu kwa weledi katika kubuni mbinu mpya za kuimarisha mapambano ya kupata mafanikio makubwa.
Amesema Taasisi hiyo iendelee kubuni mbinu kujitangaza zaidi na kujiuza kwa bidhaa wanazozitoa kwa ndani na nje nchi katika ili kuongeza wanachuo zaidi.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Doto James akizungumza katika mahafali ya 16 ya Taasisi Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi za Dar es Salaam pamoja na Mtwara yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hio jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa TIA, Wakili Said Chiguma akizungumza kuhusiana na hali ya uendeshaji wa Taasisi hiyo katika mahafali ya 16 ya Taasisi Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi za Dar es Salaam pamoja na Mtwara yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hio jijini Dar es Salaam.
Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)Dkt. Joseph Kihanda akizungumza historia ya taasisi hiyo mahafali ya 16 ya Taasisi Uhasibu Tanzania (TIA) kwa Kampasi za Dar es Salaam pamoja na Mtwara yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hio jijini Dar es Salaam
Wahitimu wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) katika mahafali ya 16 ya Taasisi hiyo kwa Kampasi za Dar es Salaam pamoja na Mtwara yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hio jijini Dar es Salaam.
Wahitimu wakicheza muziki baada ya kutunukiwa shahada mbalimbali zinazotolewa na Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA)katika katika mahafali ya 16 ya Taasisi hiyo kwa Kampasi za Dar es Salaam pamoja na Mtwara yaliyofanyika katika viwanja vya Taasisi hio jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA
yaani makala yote KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/katibu-mkuu-dotoserikli-inatambua.html
0 Response to "KATIBU MKUU DOTO:SERIKLI INATAMBUA MCHANGO WA TIA"
Post a Comment