Loading...

DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI

Loading...
DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI
link : DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI

soma pia


DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI



Na Mwandishi Wetu,MAELEZO,DAR ES SALAAM.

SERIKALI imesema itaendelea kuweka mazingira wezeshi  na kuimarisha misingi ya haki na wajibu ya waandishi wa vyombo vya habari nchini ili kuwawezesha kutekeleza vyema majukumu yao yaliyoanishwa katika Mikataba na Sheria mbalimbali za kitaifa na Kimataifa.

Hayo yamesema leo Jumamosi (Desemba 22, 2018) Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi wakati akifungua warsha ya siku moja kwa waandishi na wahariri wa vyombo vya habari iliyoandaliwa na Jumuiya ya Waislamu ya Shia Ithsheriya.

Dkt. Abbasi alisema kwa kuzingatia Mikataba na Sheria mbalimbali za Kimataifa ikiwemo Kifungu cha 19 cha Mkataba wa Kimataifa Haki za Kisiasa na Kiraia wa mwaka 1966, Serikali imechukua hatua mbalimbali za kiutendaji ili kuhakikisha maboresho na tasnia ya habari na utangazaji inapiga kubwa za maendeleo.

Kwa mujibu wa Dkt. Abbasi alisema moja ya mafanikio ya Serikali ni pamoja na kutungwa kwa Sheria mbalimbali ikiwemo Sheria ya Huduma za Habari na Sheria Haki ya Kupata Taarifa ambazo kwa kiasi zimeweka mazingira wezeshi ikiwemo kuwepo kwa vipengele vya kisheria zinazopaswa kutekelezwa na Taasisi za umma na Binafsi katika utoaji na upatikanaji wa taarifa kwa umma.
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnsheria Tanzania (T.I.C) Shekhe Hemmed Jalala akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya kuwasili katika semina ya Jukumu la Mwanahabari iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam ambako Dkt. Abbasi alikuwa Mgeni Rasmi.
3
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnsheria Tanzania (T.I.C) Shekhe Hemmed Jalala( wa tatu kulia)  akitoa moja ya maada zilizokuwa zikijadiliwa kwenye Semina ya Jukumu la Mwanahabari iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam,  kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Ofisi ya Shekhe Mkuu wa Tanzania, Haris Othmani na Kushoto ni `Mkurugenzi Mkuu TAMWA Eda Sanga, Mwanyekiti wa Blogu (Bloggers ) Joachim Mushi, Mwenyekiti Msaidizi T.I.C Ramadhani Mlekwa na Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali,  Dkt. Hassan Abbasi wakifuatilia semina hiyo.
4
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnsheria Tanzania (T.I.C) Shekhe Hemmed Jalala akisisitiza jambo kwa washiriki wa semina ya Jukumu la Mwanahabari wakati wa utoaji maada katika semina hiyo iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam
5
Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnsheria Tanzania (T.I.C) Shekhe Hemmed Jalala akisisitiza jambo kwa washiriki wa semina Jukumu la wanahabari wakati wa utoaji maada katika semina hiyo iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam, kulia ni Mwenyekiti Msaidizi T.I.C Ramadhani Mlekwa na Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari –MAELEZO Dkt. Hassan Abbasi wakifuatilia semina hiyo.
6
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akitoa hotuba fupi kuhusu maada ya  uhuru wa habari kwa mwandishi katika Semina ya Jukumu la Mwanahabari iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnsheria Tanzania (T.I.C) Shekhe Hemmed Jalala akifuatilia hotuba hiyo.
9
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza jambo  kuhusu maada ya uhuru wa habari kwa mwandishi katika Semina ya Jukumu la Mwanahabari iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Kiongozi Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu Shia Ithnsheria Tanzania (T.I.C) Shekhe Hemmed Jalala akifuatilia hotuba hiyo na kushoto ni Mwenyekiti Msaidizi T.I.C Ramadhani Mlekwa wakifuatilia maada hiyo.
10
Mkurugenzi Mkuu Idara ya Habari –MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa dini pamoja na watoa maada katika Semina ya Jukumu la Mwanahabari iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.(Picha na Idara ya Habari-MAELEZO)


Hivyo makala DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI

yaani makala yote DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/dkt-abbasi-serikali-itaendelea-kuweka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DKT. ABBASI: SERIKALI ITAENDELEA KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI HAKI ZA WAANDISHI WA HABARI"

Post a Comment

Loading...