Loading...
title : Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF
link : Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF
Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF
(Halotel) Naibu Mkurugenzi wa Halotel, Trieu Tanh Binh, (Kulia) pamoja na Mkurugenzi wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (UCSAF) Eng. Peter Ulanga, wakitia saini mkataba wa makubaliano wa awamu ya tatu kwa ajili ya kusambaza mawasiliano vijijini, utakao wezesha kampuni hiyo kufikia Zaidi ya vijiji 300, anaeshuhudia ni Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Aisack. (Katikati)
Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa wote (ucsaf) Eng. Peter Ulanga (Kushoto) akipongezana na Naibu Mkurugenzi wa Halotel Trieu Tanh Binh (Kulia) mara baada ya kutia saini Mkataba wa wa Kusambaza mawasiliano vijijini utakao wezesha kampuni hiyo kufikia Zaidi ya vijiji 300, anaeshuhudia ni Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Aisack. (Katikati)
Hivyo makala Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF
yaani makala yote Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/halotel-wasaini-mkataba-na-ucsaf.html
0 Response to "Halotel Wasaini Mkataba na UCSAF"
Post a Comment