KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA. - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA.link :
KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA.
KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA.
Wakati Simba ikitarajiwa kupambana na Nkana FC ya Zambia, Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Aussems, jana mchana alitumia muda wake kuziangalia video za wapinzani wao hao.
Aussems, raia wa Ubelgiji, alifanya hivyo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kuwaondosha wapinzani wao hao na kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
Simba iliyotinga hatua hiyo kwa jumla ya mabao 8-1 baada ya kuiondosha Mbabane Swallows, itaanzia ugenini kucheza na Nkana mechi itakayochezwa Desemba 14, kisha timu hizo zitarudiana jijini Dar Desemba 21, mwaka huu.
Mshindi wa jumla katika mchezo huo, atafuzu hatua ya makundi na atakayefungwa, ataangukia Kombe la Shirikisho Afrika kusaka nafasi ya kutinga makundi.
Aussems alisema tangu mwanzo malengo yao ni kutinga hatua ya makundi ya michuano hiyo na si kitu kingine, hivyo ni lazima watumie mbinu zote kuhakikisha wanafikia malengo yao hayo.
“Katika michuano hii hakuna timu ya kuidharau, yeyote utakayekutana naye unatakiwa kujiandaa vizuri kumshinda. Tunashukuru tumeweza kuvuka hatua ya awali kwa ushindi mzuri, sasa tunataka kufanya hivyo katika hatua hii.
“Leo (jana) mchana nitatumia muda wangu kujifungia ndani kuangalia video za wapinzani wetu hao nione namna ya uchezaji wao wanapokuwa nyumbani na ugenini. Kupitia video hizo kuna kitu nitakibaini,” alisema Aussems
Hivyo makala KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA.
yaani makala yote KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/kocha-simba-atafuta-mbinu-kuiondoa.html
Related Posts :
WAZIRI MKUU AAGIZA TAEC, TBS NA TFDA ZIHARAKISHE KUTOA MAJIBU KWA WADAU WAKE *Azindua maabara ya Tume ya Nguvu za Atomiki *Aagiza watumishi watatu wapandoshwe vyeo kwa kukataa rushwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amezitaka taasisi zinazofanya uhakiki na upimaji bidhaa nchini zijirekebishe na ziongeze kasi ya utoaji matoke… Read More...
OPENING REMARKS BY HON. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MP), PRIME MINISTER OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF THE 2ND JOINT MEETING OF THE SADC NUCLEAR REGULATOR NETWORK AND THE STEERING COMMITTEE OF PROJECT SUPPORT TO SOUTHERN AFRICAN STATES IN NUCLEAR SAFETY AND SAFEGUARDS AT ARUSHA INTERNATIONAL CONFERENCE CENTRE, 29th APRIL, 2019
OPENING REMARKS BY HON. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MP), PRIME MINISTER OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, ON THE OCCASION OF THE 2ND J… Read More...
RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIWIRA PAMOJA NA KUFUNGUA KIWANDA CHA MAPARACHICHI KILICHOPO RUNGWE MKOANI MBEYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Uyole nje kidogo ya jiji la … Read More...
Wafanyabiasha Zanzibar Waashwa Kutopandisha Bidhaa Katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Unaotarajiwa Mwezi Ujao.WAFANYABIASHARA wametakiwa kuutumia mwezi Mtukufu wa Ramadhan, kwa kushusha bei za bidhaa zao, ili kuweza kupata fadhila za mwezi huo na kua… Read More...
MAHABUSU 201 WANUFAIKA NA ZIARA YA NAIBU KATIBU MKUU NA DPP KATIKA MAGEREZA MKOANI MARAMahabusu 201 waliokuwa katika magereza ya Wilaya za Musoma, Tarime na Mugumu Serengeti wamefutiwa kesi zao mbalimbali zilizokuwa zikiwakabil… Read More...
0 Response to "KOCHA SIMBA ATAFUTA MBINU KUIONDOA NKANA FC LIGI YA MABIGWA AFRIKA."
Post a Comment