Loading...

MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI.

Loading...
MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI.
link : MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI.

soma pia


MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI.

MENEJA uhusiano wa Kampuni ya michezo ya kubashiri (SPORTPESA) Sabrina Msuya ameeleza mafanikio ya kampeni ya shinda zaidi na sportpesa kutoka Bajaji 100 kushindaniwa mpaka kufikia Bajaji 26 zilizobakia kwa sasa kutokana na mwitikio mkubwa kwa wabashiri mwaka huu.

“Kiukweli kabisa tunajivunia kama SportPesa, kwa kupitia promosheni hii tumefanikiwa kubadili maisha kwa Watanzania kupitia ushindi wao wa ubashiri wa matokeo amesema Msuya"

Pia ameeleza kuna Mabadiliko mengi kati ya hayo ni washindi wamenunua viwanja na wengine wamejenga nyumba kwa kupitia bajaj wanazoshinda kupitia promosheni hii inayoendelea na wengine wanawalipia ada watoto zao ambalo ndiyo jambo la msingi kuona watu wakiendelesha familia zao kupitia ubashiri wao.

Vilevile Promosheni hii inatoa ajira kwa Watanzania, kwani wapo baadhi ya washindi ni waajiriwa wanaposhinda bajaj wanawapa watu wawafanyie biashara, hivyo utaona ni jinsi gani hapo tumehusika katika kuajiri.Na washindi wa mwaka huu wametoka Mikoa ya Mara,Dar es salaam,Morogoro,Mwanza,Kigoma na Tanga ambao washindi wa mwaka jana walitokea Mkoa wa Kahama,Newala,Arusha.

Sportpesa imewasaidia Watanzania kujifunza mbinu za kufanya biashara kwani kabla ya kushinda bajaj hizo walikuwa hawafanyi biashara zozote, lakini wanaposhinda wanaanza kujifunza kufanya biashara kwa kupitia hizo bajaj.


Hivyo makala MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI.

yaani makala yote MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/michezo-ya-ubashiri-yabadilisha-maisha.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MICHEZO YA UBASHIRI YABADILISHA MAISHA YA WATU WENGI."

Post a Comment

Loading...