Loading...

MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO

Loading...
MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO
link : MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO

soma pia


MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO

MKUU wa Mkoa wa Manyara Alexander Pastory Mnyeti amewafagilia wakuu wa Wilaya za Kiteto mhandisi Tumaini Magessa na Simanjiro mhandisi Zephania Chaula kuwa ndiyo wakuu wa wilaya bora kwa sasa kwenye mkoa wake, wenye kuchapa kazi na kuhudumia wananchi. 

Mnyeti akizungumza mjini Babati alisema mkuu wa wilaya ya Kiteto mhandisi Tumaini Magessa na mkuu wa wilaya ya Simanjiro mhandisi Zephania Chaula, ndiyo wakuu wa wilaya bora kwa sasa mkoani Manyara. 

Alisema anataja majina hayo mawili ya wakuu hao wa wilaya ili iwe changamoto kwa wakuu wengine wa wilaya za mkoa huo wenye wilaya tano, kutekeleza wajibu wao ipasavyo. Alisema wakuu wengine wa wilaya ambao hawajatajwa wasife moyo ila waongeze bidii na juhudi katika kuwatumikia wananchi na kutekeleza wajibu wao ipasavyo. 

Alisema anatangaza majina ya wakuu hao wa wilaya wanaongoza mkoani humo baada ya yeye kushauriana na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa huo Simon Lulu na Katibu Tawala wa mkoa huo Missaile Mussa, ndipo wakapatikana hao. Alisema mkuu wa wilaya anapaswa kutoa maamuzi kwenye eneo lake la utawala na siyo kupiga simu kwa mkuu wa mkoa kila wakati kuomba msaada ili hali uwezo wa kutoa maamuzi anayo. 
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto mhandisi Tumaini Magessa ambaye ametangazwa na Mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti kuwa ndiyo anaongoza kwa uchapakazi.
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, mhandisi Zephania Chaula akisalimiana na wananchi wa eneo lake, mkuu wa mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti amesema anashika nafasi ya pili kwa kuchapa kazi. 



Hivyo makala MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO

yaani makala yote MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/mnyeti-awafagilia-dc-wa-kiteto-na_2.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MNYETI AWAFAGILIA DC WA KITETO NA SIMANJIRO"

Post a Comment

Loading...