Loading...
title : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
link : RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na viongozi wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Desemba 28, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama alipoongea na viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Desemba 28, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hawapo pichani) na viongozi wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Desemba 28, 2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa meza kuu na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama na viongozi wengine waandamizi katika picha ya pamoja na viongoz wa wafanyakazi na wa mifujo ya hifadhi ya jamii wakiwa wameshikana mikono kwa furaha huku wakiimba wimbo wa hamasa wa mshikamao wa wafanyakazi wa "Solidarity Forever" baada ya kuwasikiliza hoja zao, kuwahutubia na hatimaye kulipatia jawabu swala la vikokotoo vya wafanyakazi alipokutana nao Ikulu jijini Dar es Salaam leo Ijumaa Desemba 28, 2018.
PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII
yaani makala yote RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/rais-dkt-magufuli-akutana-na-viongozi.html
0 Response to "RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI VYAMA VYA WAFANYAKAZI NA VYAMA WASHIRIKI NA WATENDAJI WAKUU WA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII"
Post a Comment