Loading...
title : Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama
link : Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama
Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amesema serikali ya awamu ya tano imedhamiria kuwezesha vijana kiuchumi kupitia kilimo biashara ili kuchochea ongezeko la ajira na kipato chao.
Ofisi ya Waziri Mkuu chini ya Baraza la Taifa la Biashara, kupitia Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji, tayari wilayani Kigoma wameanza kutekeleza Mradi unaolenga kuwezesha vijana kushiriki katika shughuli za uchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Akiongea katika ziara yake mkoani Kigoma wakati wa kukagua shughuli za utekelezaji za Baraza la Taifa la Biashara, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama amefafanua kuwa Baraza la Taifa la Biashara kwa kushirikiana na Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji, wameanza utekekezaji wa mradi huo kwa kushirikiana na chuo cha Maendeleo Kihinga.
“Nitoe wito watendaji wa Halmashauri na ngazi ya mkoa wa Kigoma waendelee kuwaunga mkono vijana hawa wanao shiriki katika Mradi huu wa Kilimo Biashara, na nawataka mtambue haya yote yanafanyika kwa sababu ya jitihada zinazofanywa na Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, hivyo ufadhili wa Mradi huu kutoka Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji, unaunga jitihada zake za kuwezesha vijana” Amesisitiza Mhagama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akizindua Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji. 
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akisikiliza taarifa ya utekelezaji wa Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (Masuala ya Majadiliano ya Sekta ya Umma na Binafsi), Andrew Mhina juu ya ujenzi wa mabwawa ya Samaki kama sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu Wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, akimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (Masuala ya Majadiliano ya Sekta ya Umma na Binafsi), Andrew Mhina juu ya ukarabati wa mabanda ya kuku kama sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Kuwawezesha Vijana Kushiriki katika Kilimo Biashara, Manispaa ya Kigoma, Mradi huo unalenga kuwawezesha vijana kiuchumi kupitia mafunzo ya ujuzi na ujasiriamali kwenye kilimo na ufugaji.

Hivyo makala Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama
yaani makala yote Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/serikali-imedhamiria-kuwezesha-vijana.html
0 Response to "Serikali Imedhamiria Kuwezesha Vijana kushiriki kilimo Biashara-Waziri Mhagama"
Post a Comment