Loading...

SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC

Loading...
SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC
link : SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC

soma pia


SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC


Mabingwa wa soka Tanzania, Simba wametua salama mjini Kitwe nchini Zambia tayari kuwavaa Nkana FC.

Nkana FC watakuwa wenyeji wa Simba katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika itakayochezwa mjini humo Jumamosi.

Simba imewasili mjini Kitwe ikiwa na kikosi kizima tayari kwa mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu.

Mchezaji wa zamani wa Simba, Hassan Kessy ni kati ya wachezaji tegemeo wa kikosi cha Nkana FC ambayo ni moja ya timu kongwe za nchini Zambia.

Kessy aliondoka Simba na kujiunga na Yanga ambayo mwishoni haikumsajili na yeye kuamua kusaka timu nchini Zambia


Hivyo makala SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC

yaani makala yote SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/simba-yatua-zambia-kuivaa-nkana-fc.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YATUA ZAMBIA KUIVAA NKANA FC"

Post a Comment

Loading...