Loading...

TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA.

Loading...
TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA.
link : TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA.

soma pia


TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA.


Mahakama Kuu leo imetoa amri ya kuzuia Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kujaza nafasi ya mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho hilo, Danstan Mkundi.

Jaji Kiongozi Dkt Eliezer Feleshi ametoa amri hiyo Leo baada ya wakili wa Mkundi kuiambia mahakama kuwa tayari nafasi ya mteja wake imetangazwa na TFF kujazwa Februari mwakani.
Kesi ya kuomba kutengua maamuzi ya kumfungia mkundi ilifungulliwa Mei, mwaka huu.

Katika kesi hiyo leo Mkundi alliwakilishwa na wakili Emmanuel Muga ambaye pia ni mwanahabari na TFF iliwakilishwa na Ofisa wake wa sheria, Herman Kidifu.


Hivyo makala TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA.

yaani makala yote TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/tff-yapigwa-stop-na-mahakama.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TFF YAPIGWA STOP NA MAHAKAMA."

Post a Comment

Loading...