Loading...
title : UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO
link : UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO
UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO
Habari njema kwa watu wenye tatizo la kiriba tumbo ( Kitambi ), Manyama Uzembe, Unene na Uzito ulio zidi. Neema Herbalist ni duka la kuuza dawa mbalimbali za asili. Tunapenda kuwataarifu wateja wetu wapendwa kuwa tunayo mafuta ya asili ambayo yanasaidia kuondosha kabisa kitambi na manyama uzembe pamoja na kupunguza unene na uzito kwa kiwango kizuri sana .
Mafuta haya ni ya asili kabisa ( Pure herbal ) yasiyo na kemikali yoyote ya viwandani na yanaondoa kitambi na manyama uzembe ndani ya siku thelathini. Mafuta haya ya asili yanatumika pamoja na dawa nyingine ya asili ambayo ipo katika mfumo wa unga. Tiba hii ya asili imegawanywa katika dozi mbili. Dozi ya kwanza utatumia dawa hii ya asili iliyo katika mfumo wa unga pamoja na vichupa kumi na tano na utatumia kwa muda wa siku kumi na tano.
Yaani kwa siku moja utatumia kula kichupa kimoja cha mafuta haya asubuhi na usiku pamoja na dawa iliyo katika mfumo wa unga. Na dozi ya pili utaitumia kwa muda wa siku nyingine kumi na tano ambapo kama ilivyo kwa dozi ya kwanza utatumia kula kichupa kimoja kwa siku kwa muda wa siku kumi na tano mfululizo pamoja na dawa iliyo katika mfumo wa unga.
Tiba hii inaondoa kitambi na kupunguza uzito na unene pila mtumiaji kuharisha kwa hiyo hakuna suala la kuharisha katika tiba hii. Tiba hii pia ni nzuri sana kwa watu wenye kusumbuliwa na sukari kwani inasaidia pia kusawazisha kiwango cha sukari katika damu. Kupata dawa hizi fika katika duka la kuuza dawa za asili la NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja wetu waliopo jijini DAR ES SALAAM ambao hawana nafasi ya kufika ofisini kwetu tunayo huduma ya kuwapelekea dawa mahali popote pale walipo ndani ya jiji la DAR ES SALAAM ( HOME AND OFFICE DELIVERY ) Na kwa wateja wetu waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunawatumia dawa kwa njia ya mabus mbalimbali na wale waliopo Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya boti.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA 0693 005 189.
Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku kupitia blogu yetu : www.neemaherbalist.blogspot.com
Hivyo makala UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO
yaani makala yote UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/ufumbuzi-wa-kuondoa-kitambi-manyama.html
0 Response to "UFUMBUZI WA KUONDOA KITAMBI, MANYAMA UZEMBE, KUPUNGUZA UNENE NA UZITO"
Post a Comment