Loading...

WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI.

Loading...
WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI.
link : WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI.

soma pia


WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI.

Na Agness Francis, Glogu ya Jamii. 

WAZIRI wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Joseph Kakunda amefungua rasmi leo kituo kikubwa cha maonyesho ya viwanda vitatu chini ya uwekezaji wa raia kutoka China vilivyoajiri watanzania Mia tisa kilichopo Tameko  Keko Jijini Dar es Salaam. 

WAZIRI Kakunda amezungunza wakati wa uzinduzi huo  katika kituo cha maonesho ya viwanda kilichopo Tameko maeneo ya Keko ambapo amewapongeza Wawekezaji hao raia wa kutoka nchini China kwa kuwa na ushirikiano mzuri waliouonesha hapa nchini

Waziri Kakunda amesema  zipo fursa nyingi  za uwekezaji kama viwanda vya mazao ya korosho, miwa, pamba, na alizeti, viwanda vya  Nguo, viatu vya ngozi hivyo basi amewataka wawekezaji wazidi kujitokeza kwa wingi katika kuwekeza na Dodoma ambao ni mji  Kuu wa Tanzania badala ya kuishi Dar es  Salaam tu ."Vile vile nawahakikishia kuwa wote mitaji mnayowekeza Tanzania itakuwa salama hakutakuwa na muingiliano wa kusababisha biashara yenu kuwa mbovu" amesema Waziri Kakunda. 

Aidha amesema kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Tanzania imejitahidi kuboresha  maeneo ya  viwanda vya uwekezaji, pamoja na mahakama ya biashara kwa mtu yoyote atakaeuwa na malalmiko ya unyanyasaji anakaribishwa kutoa malalmiko. 

Pia Waziri huo amemalizia kwa kusema kuwa "tunajua wenzetu mmetuzidi katika uhandisi tunawakaribisha muendelee kujitokeza katika ujenzi wa mabarara, madaraja na majumba"amesema Waziri Joseph Kakunda.
 Waziri wa Viwanda biashara na uwekezaji Joseph Kakunda akizungumza na wadau mbalimbali wa Viwanda pamoja na biashara waliojitokeza katika ufunguzi wa kituo kikubwa cha maonesho ya viwanda vitatu vya China kilichopo keko jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya wadau mbalimbali waliofika katika hafla ya ufunguzi wa kituo cha maonesho ya viwanda vitatu vya China kilichopo keko jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Viwanda biashara na uwekezaji, Joseph Kakunda(wa tatu kutoka kulia)  akishirikiana na wawekezaji mbalimbali wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kituo cha maonesho ya viwanda vitatu vya China kilichopo keko jijini Dar es Salaam.
Wawekezaji kutoka wakiwa katika picha ya pamoja.



Hivyo makala WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI.

yaani makala yote WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-kakunda-awataka-wawekezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI KAKUNDA AWATAKA WAWEKEZAJI KUJITOKEZA KUTUMIA FURSA ZA UWEKEZAJI ZILIZOPO HAPA NCHINI."

Post a Comment

Loading...